Please or Register to create posts and topics.

Karibu Katika jumuiya ya mVAS

Karibu,marafiki katika jumuiya au jukwaa la wachapishaji la mVAS

Katika hii sehemu mnaweza kuwasiliana katika lugha ya kiswahili.Mnaweza pia kufanya mjadala unaohusu maada yoyote kwenye mVAS na DCB ambazo hazipo kwenye sehemu kuu ya jumuiya

Seheme hii itakuwa ikisimamiwa na Gamshini Gimbuya